
![]() |
| KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2016 |
Unguja Kisiwani Zanzibar kutokana na tukio moja tu la kipekee la onesho la mavazi lijulikanalo kama KARIBU ZANZIBAR FASHION FESTIVAL 2016
lililoteka umati wa wadau wa fani hiyo na watu mbalimbali wa ndani na nje ya Zanzibar na mataifa mengine.
Hakika ilifana kutokana na kila mbunifu kuonesha kazi yake iliyobuniwa kwa
kiwango cha juu hali iliyoibua shangwe na nderemo kila ‘models’ wanapopita
kwenye jukwaa na mavazi hayo ya ubunifu
No comments:
Post a Comment