Saturday, May 7, 2016

Kumbukumbu ya Miaka Hamsini ya Mapinduzi Mitukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964

Haiba ya Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka Hamsini ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964 inavyoonekana baada ya kumalizika kujengwa hapo katika Majumba ya Maendeleo Michenzani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein akiangalia mandhari ya Mji wa Zanzibar katika chombo maalum { Darubini } wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar Michenzani baada ya Kuuzindua rasmi
Mandhari ya Bustani ya Michenzani iliyomo ndani ya eneo la Mnara linavyoonekana kwa juu ya Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar


No comments:

Post a Comment